Monday, June 3, 2013

Ni baada tu ya kutangazwa mshindi wa kinyang'anyiro cha urais SONIT kihistoria kwa gepu kubwa la upinzani kupitwa zaidi ya kura 300. Ndipo vijana wakishangilia ushindi wa Bw. SAMSON A. SESERA kuelekea moringe na wakina dada nao kutoficha hisia zao na kumshangilia rais wao mteule. ni shamrashamra na kelele za furaha huku wakicheza kila mtu staili yake bila hata mziki.              ...
 Moja ya harakati za mwisho za campain na uchaguzi mkuu wa urais SONIT kati ya mh. SAMSON A. SESERA akiwa na makamu wake Bw. Hussein Abdallah. Kwa upande wa pili ni Bw. David KAUGIRA pamoja na makamu wake Bw. CHRISPIAN. Je.....nani ataibuka na ushindi wa kinyang'anyiro cha Urais wa Sonit NIT?                                ...