Monday, June 3, 2013

Ni baada tu ya kutangazwa mshindi wa kinyang'anyiro cha urais SONIT kihistoria kwa gepu kubwa la upinzani kupitwa zaidi ya kura 300. Ndipo vijana wakishangilia ushindi wa Bw. SAMSON A. SESERA kuelekea moringe na wakina dada nao kutoficha hisia zao na kumshangilia rais wao mteule. ni shamrashamra na kelele za furaha huku wakicheza kila mtu staili yake bila hata mziki.
                                        For real it was a historical cerebration!!!
       
                              
                                   WATU HOLLLLAAAAAAAAAHH!!!





                                               ALL THE BEST MR. SESERA
                                                           
                                                                   # KIM #

Related Posts:

0 comments: