Moja ya harakati za mwisho za campain na uchaguzi mkuu wa urais SONIT kati ya mh. SAMSON A. SESERA akiwa na makamu wake Bw. Hussein Abdallah. Kwa upande wa pili ni Bw. David KAUGIRA pamoja na makamu wake Bw. CHRISPIAN.
Je.....nani ataibuka na ushindi wa kinyang'anyiro cha Urais wa Sonit NIT?
# KIM #
0 comments:
Post a Comment